Wednesday, September 22, 2010

KUSANYIKO LA BWANA-KIBAHA PRECIOUS CENTRE

 SHALOM!! Jiandae na Kusanyiko la Bwana Litakalofanyika pale EFATHA H/Q KIBAHA PRECIOUS CENTRE...kuanzia tarehe 4/10/2010-10/10/2010 ni kusanyiko la kuvikwa silaha zote za MUNGU....wahubiri wa kimataifa kutoka nchi mbalimbali watakuwepo wakiongozwa na MTUME NA NABII JOSEPHAT ELIAS MWINGIRA,njoo uone matendo makuu ya MUNGU...Mass Choir wataongoza sifa na kuabudu!! karibu sana umualike na mwingine kwa maelezo zaidi tembelea katika vituo vya EFATHA vilivyopo DAR ES SALAAM na mikoani..na Nje Ya Nchi pia..Mungu akubariki sana!!

1 comment:

  1. haleyula tupo katika kusanyikola Bwana tunapata neno na kumuona Mungu kwa njia na mahubiri tofauti tofauti karibuni haujachelewa

    ReplyDelete